Form four Necta past paper (Pdf download)

Form four Necta past paper (Pdf download)

Makala hii ina taarifa zote kuhusu Form four Necta past paper (Pdf download), Kupata past paper za form four, Form Four past papers.

Form four Necta past paper (Pdf download)

Form four past paper Ni mitihani yote ya form four iliyokwisha kufanywa na WANAFUNZI waliotangulia ambapo inakuaandaa kujua Aina ya maswali ya Necta formfour inavyokuwa, topic zinazotola Mara kwa Mara katika form four national examination jinsi ya kujibu maswali ya form four na kadhalika. Katika makala hii tutakueleza jinsi ya kupata past papers za form four.

Kupata past paper za form four

Je wewe Ni mwanafunzi, mwalimu au mzazi na ungetamani kujua jinsi ya kupata past papers zote za mitihani ya form four kila mwaka, hapa tutakueleza namna rahisi ya kupata past paper za form four na jinsi ya ku download PDF ya past papers za form four kwaajili ya mwanafunzi anayejiandaa na mtihani wa form four. Kwa Sasa unaweza kupakua past papers za form four katika mtandao au tovuti ya past papers ambayo ni faulunasi.

Faida za kusoma past papers za form four

Zipo faida mbalimbali ambazo anaweza kuzipata mwanafunzi wa form four kwa kusoma past paper za masomo mbalimbali ya mitihani ya Kidato Cha nne Kama ifuatavyo

 1. Past papers za form four zitamwandaa mwanafunzi kuweza kukabiliana na mitihani ya form four kwa kuelewa namna mitihani inavyokuwa (miundo ya mitihani na sehemu zake) jinsi maswali yanavyoulizwa na namna gani mitihani inavyokuwa
 2. Past papers za form four humsaidia mwanakunzi kuwa karibu na kufaulu kwani maswali mengi huweza kujirudia katika mitihani iliyopita (maswali kujitokeza Tena) hii ikiwa na maana Kama mwanafunzi  amesolve past papers nyingi za form four anaweza kukutana na maswali yanayojirudia
 3. Past papers zitamfanya mwanafunzi kuizoea mitihani na kutokuogopa mitihani hivyo kumpa mwanafunzi ujasiri wa kufanya mtihani bila hofu, na hivyo kufanya vizuri mitihani yake ya form four examination papers

Form Four examination past papers all subjects

Kwasasa past papers zote za mitihani ya Kidato Cha nne inapatikana mtandaoni katika tovuti ya faulunasi.com, hapa tutakuwekea list ya all past papers za form four ambazo zitasaidia mwanafunzi kufanya vizuri katika mitihani yake ya Kidato Cha nne , past papers za form four zinazopatikana matandaoni Ni pamoja na

 1. Form four past papers Geography subject
 2. Form four past papers Civics subjects
 3. Form four past papers mathematics subject
 4. Fourfour past papers English subjects
 5. Form four past paper Book-keeping subject
 6. Form four past papers Chemistry subject
 7. Form four past paper Chinese language subject
 8. Form four past papers Biology subjects
 9. Form four past paper History subject
 10. Form four past papers Kiswahili subject
 11. Form four past papers Islamic  religious subject

Hitimisho: Hakikisha una solve maswali yote unahokutana nayo katika past papers za form four, mnaweza kusolve past paper katika makundi yenu ya kujisomea au kwa usaidizi mwa mwalimu wa SoMo husika. Hakikisha pia unaweka kumbukumbu katika kila past papers ya form four uliyo solve

Related Articles