Jinsi ya Kusimamia Malengo Event on 25-26 April 2022

Jinsi ya Kusimamia Malengo Event on 25-26 April 2022

LeeRosaa Outlet Waandaaji wa events Mbalimbali Nchini zilizobadili maisha ya watanzania wengi wanakutangazia Event Kubwa juu ya kufikia malengo yako itakayofanyika tarehe 25 hadi 26 April Mwaka huu.

Event hii imelenga kuwakutanisha vijana na kuwapa ujuzi mahususi utakao wasaidia kufikia malengo yao kwa wakati.

Mafunzo yatatolewa lini?

Mafunzo haya  kwa vijana yataanza wiki ijayo  siku ya Jumatatu hadi Jumanne.

Ujuzi utakao upata katika Mafunzo hayo utakusaidia kujitambua, kuijua ndoto yako, namna ya kutimiza malengo na kujiamini.

BOFYA HAPA KUJISAJILI

Kujisajili tafadhali lipa kupitia namba 0712700444 na uchague muda utakaokufaa.

Jinsi ya Kusimamia Malengo Event itafanyika wapi?

Mafunzo yatafanyiaka Mikocheni Mwaikibaki Road, tarehe 25 na 26 april.

Kila siku tutakuwa na session mbili asubuhi saa tatu mpaka saa sita na jioni saa nane mpaka saa kumi na moja jioni, kila session itachukua watu kumi tu na mafunzo yatakuwa kwa siku mbili.

Welcome all to this open discusion training session where we can share our laughters our fear and everything in between.

Jinsi ya Kusimamia Malengo Event on 25-26 April 2022