Necta Tanzania imetangaza matokeo ya kidato cha Nne 2023 (Matokeo ya Form four 2023/2024) siku ya leo Tarehe 25/01/2024.
Matokeo ya Form four 2023/2024 Necta
Matokeo ya Form four 2023/2024 yanatoka baada ya zoezi la usahihishwaji kukamilika toka wafanye mtihani wa kidato cha nne mwaka 2023 Kuanzia tarehe 13/11/2023.
Soma pia Shule Kumi Bora Kidato cha Nne 2023 | Top 10 Form Four 2023
Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?
Matokeo kidato cha nne 2023/2024 yametoka leo Mida ya saa 5 ahsubuhi siku ya Alhamisi ya Tarehe 25/01/2024.
Tazama pia Wanafunzi Bora Kitaifa 2023 | Top 10 Student Form Four 2023
Jinsi ya kuangalia matokeo kidato cha nne 2023
Fuatilia link zifuatazo kutazama matokeo ya form 4( form four results 2024).
LINK 1: CLICK HERE TO VIEW NECTA RESULTS
LINK 2: CLICK HERE TO VIEW MATOKEO form 4
Soma makala zifuatazo: