AKPAN, KAPAMA BADO NI MALI YA SIMBA Hivi karibuni kumekuwa na Tetesi kuhusu Kocha mkuu wa Simba spoti Klabu Zoran Maki, kutowahitaji wachezaji kadhaa kutoka kwenye kikosi cha Simba ikiwemo Nassoro Kapama pamoja na Victor Akpan lakini hadi hivi sasa Akpan na Nassoro bado mali ya msimbazi Hayo yamethibitishwa na Msemaji wa klabu hiyo Ahmed Ally ambaye amesema kuwa Akpan ...