Majina ya Walioitwa Interview Ajira za Afya 2024 pdf

Majina ya Walioitwa Interview Ajira za Afya 2024 pdf

Katika makala hii tumekuwekea orodha ya Majina ya Walioitwa Interview Ajira za Afya 2024 PDF zilizofanyika mwanzoni mwa mwezi wa sita na kukoma mwezi wa saba mwaka huu.

Kuhusu Majina ya Walioitwa Interview Ajira za Afya 2024 pdf

Ajira za Afya 2024 pdf zimekua miaka ya nyuma zikitangazwa na Tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya afya. Mwaka 2024 nafasi za kazi za afya kwa madaktari, manesi, afisa lishe zimetangazwa na utumishi kupitia mfumo wao wa www.portal.ajira.go.tz.

Jinsi ya kutazama orodha ya majina ajira za afya mwaka 2024

usaili ajira za afya
ajira za Afya
  • Ingia kwenye mfumo wa utumishi kupitia www.portal.ajira.go.tz
  • Nenda eneo la My Application
  • Kisha utaona ujumbe wa kualikwa katika interview

Tazama Pdf Ajira za afya 2024

Siku ya usaili ajira za afya ni Tahere 02/09/2024 (Usaili wa kuandika) na Usaili wa mahojiano ya mdomo utafanyika tarehe 12/09/2024.

Usaili huu utafanyika eneo ambalo uliweka kama anwani yako ya Makazi.