54 Comments

  1. Nielekeze namna ya kutuma maombi, mana najaribu kusubmit applications inagoma inaniandikia page expired ni kwanini sas??? Au kuna namna nyingne tena ya kutuma maombi??

  2. Nimefanikiwa kujisajili pccb portal recruitment lakini sijaona sehemu ya kufanya application naomba nisaidiwe.

    • Ukisha login angalia juu mkono wa Julia Kuna kiboksi kibonyeze utaletewa apply ikiwa juu katikati utabonyeza na kuendelea

  3. Nilifungua account lakini kila nikiingia inagoma naomba msaada namba yangu ya simu 0621717097

  4. Please naomba msaada namna ya kuapply hasa kwenye kuweka attachment ya vyeti, passport
    Please

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*